cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Kazisake tyuuuh.Mmmh... Ngoja nikazisake tu
Kazisake tyuuuh.Mmmh... Ngoja nikazisake tu
Dah Wasalimie
ZanziberiWapi Tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lol, ila watu uwiiiiihKuna watu wanafaidi jamani
😂😂😂Me nilisema alinambia yeye zote huziita squares nazani hata ile ya Morena pale ni Nyerere square kwakeNyerere Square si ni kule mbele kabisa ukiipita roundabout inayofuata
Wee apo ndyoNi mimi unaniambia au ni nani
Imeisha hiyoDah Wasalimie
Uwezi maliza ubaya bila kutoa ya rohoni mkuu lazima useme ya moyoni alafu utoe msamaha hapo ndo utakuwa na amani ila kusamehe uku una chuki moyoni ni dhambiHaya mbona yameisha wakuu kila siku tuu haya haya
Kula tu😂 usizidishe kipimo tu
🥂Uwezi maliza ubaya bila kutoa ya rohoni mkuu lazima useme ya moyoni alafu utoe msamaha hapo ndo utakuwa na amani ila kusamehe uku una chuki moyoni ni dhambi
Yameisha isha mkuu
Nashukuru mungu niko fresh[emoji1635]
umeamkaje lakin??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nilisema alinambia yeye zote huziita squares nazani hata ile ya Morena pale ni Nyerere square kwake
Huyo nae ana lake tyuuuh, picha ya mwanzo nimpepigwa mbali, na hii picha nyngne nimepiga mapaja tyuuuh, ndo maan mapaja yamekuzwa, na yey anaona km mapaja n makubwa,Hahahahahaha....una maanisha kuwa miguu midogo mpaka mkubwa siyo?
Wapi hapa dea lol.
Amaizing [emoji91]Kichuna.
[emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 1662431
Ooooooh dea safe journey
Inapendeza .... Nimeipenda avatar yako nikiwa mkubwa nitapiga na me😂😂😂Nashukuru mungu niko fresh
DomTown Jiji dogo sana ushindwe kuzitofautisha utakuwa una shida aseee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema kama anazijua kuzitofautisha basi haina shida
[emoji23][emoji23] Ushe enda kunichungulia [emoji849][emoji849][emoji849]Inapendeza .... Nimeipenda avatar yako nikiwa mkubwa nitapiga na me[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125]Nimeshachokoza hapa....