Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi huyu mtu chake anavyobebishwaga hivi halafu eti bado kutwa analalamika mademu wa JF hawamkubali

Sijawahi kuona Chakorii anambebisha mwanaume mwingine humu JF kama anavyombebisha huyu na anambebisha yeye peke yake tofauti na wanawake wengine ambao wanabebisha kila mwanaume
Kwani unajaribu kusema nini labda
 
Hivi huyu mtu chake anavyobebishwaga hivi halafu eti bado kutwa analalamika mademu wa JF hawamkubali

Sijawahi kuona Chakorii anambebisha mwanaume mwingine humu JF kama anavyombebisha huyu na anambebisha yeye peke yake tofauti na wanawake wengine ambao wanabebisha kila mwanaume
Naunga mkono hoja na ukitaka ugombane na bibie mguse MTU cha wenyewe

Nb:Ni utani
 
Kwangu mimi ni kawaida,sijui kwako.
Hii dunia si yetu na lazima tutakufa..kwetu ni Mbinguni na hakuna namna tutafika pasi na kupitia hiyo hatua..
Wapo wachache watakaobahatika kufika Mbinguni pasi na kupitia kifo.

Dunia sio yetu kiaje wakati tupo duniani? Ni ya nani hii dunia?

Nani kakuambia kwetu ni mbinguni na kwa nini iwe wachache tu watakaokwenda?
 
Back
Top Bottom