Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

usijali nipo ...ila nimeona nikae kwa kutulia nisije itwa mbwa siku nyingine ...wacha nibaki kuwa mbuzi mnaweza nila ata nyama mwaka mpya



Nakupenda sana mpenzi
Ushaanza visanga sasa ..

Hebu acha hizo Habari love unanisikitisha ujue..inaonekana una moyo mkubwa kwa kuhifadhi hizi purukushani..hebu tupa kule mambo meusi...hivi unajua maisha ya furaha na amani yanavyokuwaga matraaaam eee eheee😁😁😁😁acha kuwa mkiwa bila sababu.napenda kuona watu wako na furaha mda wote

Haya m’babe wangu ukuje online kama kawaida upatapo muda sawa eee..eheee maisha yenyewe mafupi haya leo tupo kesho hatupo❤️❤️
😊😊😊

Hivi uliniambia unakunywaga gongo ee😆😆😆Ehee tukijaaliwa uzima na afya nataka nikakuleweshe mpka uzime mwaka mpya...unaonaje linah wangu.😆😆😆Yani ni fulu kuzima tu hakuna namna

Nakupenda pia linahbaby wangu mzuri mzuri.kesho nitakununulia aisikilimu sawa ee...eheee 😘😘😘😘

🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Dea na mie Leo nimekuonesha kapaja kangu
Mh! Hii miguu kwenye picha ya kwanza inaweza kuwa
na upaja wa hivi? December fools' day😀😀
2650722_JamiiForums1426790198.png
2651911_IMG_20201229_103059_539_1609230851487.png
 
Back
Top Bottom