Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Dah ona sasa haya matatizo yanatuaffect wengi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli yaani ilibaki kidogo nikutupie lawama wewe sababu nilihisi na wewe uliziona zile status ukamgundua kuwa ni yeye ukaziiba
Wewe ni Hatari Best.. Hadi alizokuwa anasambaza nazo pia? Haki kama na yake unayo sitaki kujua hilo balaa lake.. Mstahi tu.Babe unashangaa ya kwake na alizokuwa nazo anasambaza mla cha wenzie na chake huliwa pia
Ila ukimchunguza mwandiko wake kwa kina lazima ugundue kitu.niaminiOhoo kwa zile comments zake mama hauwezi kuamini kama ndiyo mswahili hivyo! Anaonekana mstaarabu ndiyo maana ni rahisi sana mtu kumuamini!
Unajua kuna mtu mwingine kutokana na comments zake tu hauwezi kukubali kuchat naye hata pm yaani hautataka mazoea naye kabisa! Ila yule aise sikutegemea!
Cc plz mnambie na mie, tumbo linauma had pic zang abasambaza lol[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2985][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Upo listini nasikia😅😅😅Heeeeh ana kazi bas ya kukariri photos za watu uwiiiih
Dea plz naomb mnambie, sina aman hapa wallah.Ila ukimchunguza mwandiko wake kwa kina lazima ugundue kitu.niamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakipata sana mamkubwa
Sijui kimepotelea wapi siku hizi haki kile Kikosi nimekimiss sana
Dea wee acha tyuuuh, ndo hapa naunga dots ha kugundua hilo, yaan nmepoteza had appetite ya kula, wakat nlkua na njaa hatareeh.Upo listini nasikia[emoji28][emoji28][emoji28]
😅😅😅kwani ukimjua utamfungulia uzi au utakausha!ni bora usijue tu maana si kila mtu anaweza kumjua mbaya wake akatuliaHebu ntajie PM cc na mie nimjue lol.
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah ona sasa haya matatizo yanatuaffect wengi.
Si ajabu kuna watu wameninunia humu sababu ya hayohayo na mimi sijui[emoji23][emoji23]
Bora wewe rafiki yangu uliniuliza,Sasa wengine wameninunia kimyakimya dah maisha haya[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu nani sasa Anne ebu tuambie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo listini nasikia[emoji28][emoji28][emoji28]
❓❓❓❓❓❓Teh teh halafu nasikia amewahi kumkula! Huyo ndugu yako naye kumbe mhuni tu bahati yake tu hayuko kwenye ile list ya yale mafurushi ya MMU na hajulikani sana humu!
Hali ni tete[emoji23][emoji23][emoji23]Na mizinga tena ngachoka [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
JamniHadi huyo uliyemuongelea hapo juu Naye
Kula wewe acha ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]Dea wee acha tyuuuh, ndo hapa naunga dots ha kugundua hilo, yaan nmepoteza had appetite ya kula, wakat nlkua na njaa hatareeh.
Karma ebu njo pm [emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu karma ashanipa tahadhari halafu sasa Kuna kazi nafanya naye na picha zangu anaona kila siku.
Naendelea kuunganisha matukio😆😆Jamani natamani kumjua karma ebu kuja pm basi [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]