Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Thank you loads sis.[emoji11][emoji11][emoji11]
Happy Birthday Dear HS..
Happy Birthday Dear HS..
Nteiya kuti we ni dada ila sa mi nkukunda 😍😍😍 sikunda mbui ziwe kuu ila moyo uzafa kwakoExtro imi ni dada ako
Mno[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enhe umeona enh wanaume wa kinyakyusa wana damu kali
Jitahidi basi usipotee namna hiyo loh.Nzuri babe wangu majukumu mama yanatufanya tunaingia jf kwa kubeep [emoji8]
Khaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yameanza lini hayaNteiya kuti we ni dada ila sa mi nkukunda [emoji7][emoji7][emoji7] sikunda mbui ziwe kuu ila moyo uzafa kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enhe umeona enh wanaume wa kinyakyusa wana damu kali
[emoji120][emoji120][emoji120] love u too dearJitahidi basi usipotee namna hiyo loh.
Btw nimefurahi kukuona tena jukwaani..I [emoji3590] U ....
Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dearHe he pole huyu msambazaji picha aendelee tu kusambaza picha
Halafu kuhusu mimi asipate shida kuomba watu wangu aje kuniomba mwenyewe nitamtumia picha nyingi ahangaike nazo
Ni sawa ndiyoKinyantuzu na Kisukuma ni sawa eenh
Ni sawa ndiyoKinyantuzu na Kisukuma ni sawa eenh
Na picha anazisambaza kwa wanaume unafikili anasambaza wapi ni kwa wanaume mimi nimekutana nazo kwa wanaumeHuyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear
Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri
Kwakweli aiseh 😘😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa wameaga kule ziwa victoria
Niambie kwanza pale umesemaje ndo nije huko kisangara maana nimeielewa jeiefu tuNjoo hadi Kisangara hapa utanikuta
Mno yaaniNi wapumbavu mno
njoo pmNiambie kwanza pale umesemaje ndo nije huko kisangara maana nimeielewa jeiefu tu
😘😘😘Chakoriiiiiii, thank you babes. Uisindikize basi siku ya leo na picha moja ya umini
Zako hazijasambaa rafiki yangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear
Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri
We njoo nimewaacha mlango wazi bastanjoo pm
Wengi wao huwa wanazitaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mdogo wangu
Watu huwa wanakomaa tu kusema rangi [emoji23][emoji23]