Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,815
- 235,992
Halafu hii inafanya uanze kuwafikiria vibaya wote wenye namba yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My dear si bora hata angekuwa anasambaza hizi tunazoweka humu tunajiziba! Anasambaza zile zetu tunazomtumia kule whatsapp na anazoziona kwenye status tukiwa hatujajiziba!