Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mno yaani
Unaweza shangaa chakorii watu Wana mafile yako wewe mwenyewe hujui[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena bora yangekuwa ya kweli.
Wooooooiiiii mimi mtu akiwa na mafile yangu yawe fake ama halisi unafikiri napata tabu basi😁😁

Sana sana nitamwomba aje kwangu achukue taarifa zingine ambazo hazijui😆😆

Unafikiri ninamuda basi..yani niwaze namna ya kutafuta fweza,,,nawaze pia na maneno ya watu eti fulani kasema nini 😁😁thubutuuuuu
 
Zako hazijasambaa rafiki yangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mbona picha zenyewe tunaweka humu kila siku,kumbe kuna watu wanahangaika kuzisambaza tena?[emoji23]
My dear si bora hata angekuwa anasambaza hizi tunazoweka humu tunajiziba! Anasambaza zile zetu tunazomtumia kule whatsapp na anazoziona kwenye status tukiwa hatujajiziba!
 
Wooooooiiiii mimi mtu akiwa na mafile yangu yawe fake ama halisi unafikiri napata tabu basi[emoji16][emoji16]

Sana sana nitamwomba aje kwangu achukue taarifa zingine ambazo hazijui[emoji38][emoji38]

Unafikiri ninamuda basi..yani niwaze namna ya kutafuta fweza,,,nawaze pia na maneno ya watu eti fulani kasema nini [emoji16][emoji16]thubutuuuuu
Na Mimi huwa napenda kumwambia mtu hivyo,Kama kuna mahala hakuelewa walikokuwa kuambiana basi aje aniulize tu..asiogope[emoji1787]
 
Wooooooiiiii mimi mtu akiwa na mafile yangu yawe fake ama halisi unafikiri napata tabu basi[emoji16][emoji16]

Sana sana nitamwomba aje kwangu achukue taarifa zingine ambazo hazijui[emoji38][emoji38]

Unafikiri ninamuda basi..yani niwaze namna ya kutafuta fweza,,,nawaze pia na maneno ya watu eti fulani kasema nini [emoji16][emoji16]thubutuuuuu
Woyoooooooooooh bas Dunia unaiona rahis tyuuuh, saf San dea.
 
Wooooooiiiii mimi mtu akiwa na mafile yangu yawe fake ama halisi unafikiri napata tabu basi[emoji16][emoji16]

Sana sana nitamwomba aje kwangu achukue taarifa zingine ambazo hazijui[emoji38][emoji38]

Unafikiri ninamuda basi..yani niwaze namna ya kutafuta fweza,,,nawaze pia na maneno ya watu eti fulani kasema nini [emoji16][emoji16]thubutuuuuu
JF watu wanajua sana kuchafua wenzao! Ukiwa na moyo mdogo unaweza jikuta unakimbia kabisa mtandao ila wengine tumeamua kukaza mioyo tu tutafanyaje sasa!
 
Back
Top Bottom