Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Usijali mama mchungaji wangu nitakupeleka chimbo bei rahisi mno nywele ya laki 3 wengine wanauza laki 6 zipo kuanzia mpaka elf 50Ahsante sana mama Muinjili; umenifanya nikumbuke nilikwambia nitakuja tukanunue nywele amazing.
Hahhhah haki umenichekesha ujue, kwa hiyo kukuomba picha wenyewe wanaogopa au? Kwa kweli waje tu front wakuombe mwenyewe sio kupitia kwa watu.
Eenh anatafuta picha zangu anione shunie nafananaje jamani mtu mwenyewe na sura ya baba angu halafu mwanamke mwenzangu huyo apate picha yangu ili aisambaze vizuri
Njo pm niombe mwenyewe nakutumia jamani kwani picha nini hata kama nafanana na baba angu nakutumia tu






