Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,145
- 190,608
Acha kudanganya umma, yani we kweli na urembo wote huo hivi unajua wenye sura mbov kweliHahaha mkuu unafikiri nakutania? Mie baba yangu siyo mzuri na ndiyo nimefanana naye copy hivyo mie siyo pisi kali wala sina uzuri wowote!








