Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha kizuri wacha tukipe sifa yake tu ila haimaanishi kuwa kila kizuri nakipenda

Huyo kazidi sana uzuri aisee kanizidi hata mimi na hii sura yangu ya baba sasa
Halafu nyie nakujifanya mnasura za baba zenu wewe na shunie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnazingu wakati nyie ni pisi kali, basi baba zenu wana muonekano mzuri sana
 
Hivi kumbe ni kweli nilijua unatania, mtu anakuomba picha halafu bila ruhusa yako anampatia mtu mwingine picha zako mbona ni ujinga sana, maana utampa mtu picha yako kwa kumuamini halafu unakuja kuaikia mtu mwingine anayo ni ujinga sana, na ni tabia ya kipuuzi, sema jaribu kuwapa picha watu you can trust, wamaofanya hivyo ni ulimbukeni sana, hata mimi sijapenda hilo,
Acha baba paroko akipata picha ya mtu ni kusambaza unamjua flani ndio huyu inahusu nini utoto tu
 
Hizo hizo tunajenga wote baba paroko [emoji847]
Hatuna urembo wowote basi tu kuna mjinga mmoja akipata picha zetu wadada anasambaza si ujinga huo halafu mwanamke mwenzetu unasambaza unaoata faida gani au kuna mtu anakulipa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aiseee
Humu ndani unaweza shangaa tu watu wanafile lako la story tena za uongo,wanajazana tu huko.
Mtu Kama anataka kujua kitu toka kwako ni Bora akakufuata mwenyewe akakuuliza.
Na watu walivyo wajinga Sasa,hawakufuati muhusika kukuuliza,Wanaenda kuuliza sehemu nyingine na kujazana stories za uongo na wanakuja kuconclude humu Kama wanayajua maisha yako yote.
 
Inasikitisha sana ndio jf yetu hii mtu anajifanya akujue akuzoee kumbe anachota
 
Halafu nyie nakujifanya mnasura za baba zenu wewe na shunie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnazingu wakati nyie ni pisi kali, basi baba zenu wana muonekano mzuri sana
Hahaha mkuu unafikiri nakutania? Mie baba yangu siyo mzuri na ndiyo nimefanana naye copy hivyo mie siyo pisi kali wala sina uzuri wowote!
 
Back
Top Bottom