mbo...huku si thread ya wala bata mie ntaonekanaje na ninateseka😝😝😝Umeadimika boss
Kabisaaaah dear [emoji7][emoji7][emoji7].Hakuna shida [emoji3590]
Yako very ambiguousHahaha yamefanyaje?
Heeeeh hatareee tupu lol, hebu na wee weka yako tuone huo uhenga unaojinasibu hapa.Braza wa jomoneeeh kujipendaga tyuuuu. Uko vizuri sana [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka nusu nife wallah,. Kumbe na wee n mpana hivi? Hapan skuwezi mie lol.Dick italegea hiyo wewe acha uboya
Cc love n mic u moaaaah, hutak zawadi nlizotoka nazo kunyumba?[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hizo picha za cc angu mtakatifu zimenipita plz ntumieMdogo wangu weeh[emoji7] ...kapicha[emoji108][emoji108][emoji108]
Nlkumic mwayaaaaah lol
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kwendraaaaaaa!Mwee nilijua tu lazima Espy na Heaven Sent watakuharibu na hilo neno! Usiwaige jamani ma mkubwa hilo neno halikufai kabisaaa!
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Plz ntumie hyo picha km uli save lol, imenipita mweeeeehTutalinda kweli hivi
Naomba picha plz me sjaona mweeehHaina madhara rafiki
Nmeona dea [emoji8][emoji8][emoji8]Thank you
Mapema tu nimekuPM
Yaani roho imeniuma[emoji23]Jana ukapotea bwana...
Yaani hata halipendezi[emoji19]Kweli eeeh but " My Sons Legacy " is the best to me [emoji3][emoji3][emoji3]
HahahaNiko mre
mbo...huku si thread ya wala bata mie ntaonekanaje na ninateseka[emoji13][emoji13][emoji13]
Mdogo wangu ukipata muda naomba unitafute Pm .Raha ya nyumba mwanaume, wacha nikutunze,
Nyumba yetu tuipambe, huko nyuma tulishindiaga mabwende,
Karanga na makande, kuku ugali dona sembeee,
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko, hawaishi longolongo,
Vimaneno km viroboto, wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto,
Jamani sielew babeeh juaaaa, ukimuona furaha tele moyoni,
Nikomuona anatabasamu usoni.
NAOMBA UNIROGE ×2
kwani mapenzi matamuuuuuuh.
NAOMBA UNIROGE ×2.
mjanja wa cocastieeeeeeeeeeeh. View attachment 1649575