Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
I like the simplicity/complicity of your kiota (hilo guu mi sijaliona)





I like the simplicity/complicity of your kiota (hilo guu mi sijaliona)





Hahahaha, mistari sinaAcha kuguna kipenzi changu rafiki rusha mistari kwa hewa...
Huku ni hatari zaidi,mwili mdogo mno.Huku usije ubaki hapo hapo..maana mwenyewe natamani kurudi huko.. huku sikushauri
![]()

😂😂 Karibu ila usizidi sanaHuku ni hatari zaidi,mwili mdogo mno.
Bora huko![]()
Pole mkuuI am sorry Mama,
Unalia siwezi hata kukufuta machozi,
Nachoweza ni kukwambia usilie tu,
Huwa ninalia pia but I cant cry in front of you.
Sijui hii jela mwanao nitatoka lini, ili nifanye zaidi ya kukwambia nyamaza na kukusaidia kulia.
I love you so much Mama.
Haiwezekani kabisa..wewe huyooo..hebu tunga mistari bhana usiniangushe hukoHahahaha, mistari sina
Ni Nini mbaya ndugu yanguI am sorry Mama,
Unalia siwezi hata kukufuta machozi,
Nachoweza ni kukwambia usilie tu,
Huwa ninalia pia but I cant cry in front of you.
Sijui hii jela mwanao nitatoka lini, ili nifanye zaidi ya kukwambia nyamaza na kukusaidia kulia.
I love you so much Mama.
Tutalinda kweli hivi
Pole sanaNi mipango ya Mungu tu Mkuu,
Nahisi inanizidi uwezo to the extent of being useless.
I cant stop crying Mkuu.
Kwanini usilindeTutalinda kweli hivi
Hahahaha, kwenye misrari mm ni sifuri kabisaHaiwezekani kabisa..wewe huyooo..hebu tunga mistari bhana usiniangushe huko
Na hiyo picha RafikiKwanini usilinde
Haina madhara rafikiNa hiyo picha Rafiki
Mmmh ,we wasemaHaina madhara rafiki
Haha..kinyoongeeeMmmh ,we wasema
We wajua kwann kinyongeHaha..kinyoongeee
😂😂😂😂😂 Mwaka unaishia ujueWe wajua kwann kinyonge
Hahahaha, najua nitakuchekiMwaka unaishia ujue