Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hovyo sana huyo mdogo wako. Mafurushi sijui tulimkosea nini.

Kama nilivyoahidi ukija Nyakabindi dume la ng'ombe linakuhusu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna jambo mlimkosea.. Sasa hilo Dume si ifanyike namna linifikie nilipo.. Hadi nije Nyakabindi jamani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo mlimkosea.. Sasa hilo Dume si ifanyike namna linifikie nilipo.. Hadi nije Nyakabindi jamani??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo unachinjiwa wewe mgeni ili kuonyesha heshima na kukubalika kwako. Na ule nyama kweli mpaka uzimalize. Na nyingine unakaushiwa unabeba. Na ngozi juu. Usipokuja hupati kitu
 
Umekuwa sana siku hizii..
Wewe wakuniambia nipi Leba eti wasinitag? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka sana ila sijapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app

basi narudi utotoni kuanzia leo (najua ulichomaanisha)
[emoji23]basi nisamehe, i just wanted to make you happy , siku hizi umekua serious mno nikaona nikuchokoze ila nisamehe[emoji1374]
 
Back
Top Bottom