cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,441
- 199,691
Ahsanteeeeeh broooh, nimekuelewa vizuri kabisaaah, .Jah akuzidishie hekima na busara zaidi, ili nipate kufaidika.Dgo umezama Sana eeh nakushauri nenda 50/50 sisi wanaume sio Kama unavodhani ili in case likija la kutokea usiyumbe na kwenye masomo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]