Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni mipango ya Mungu tu Mkuu,

Nahisi inanizidi uwezo to the extent of being useless.

I cant stop crying Mkuu.
Pole mkuu..
Unaweza share na Mimi kama hutajali..

Ila nikuambie tu;
Changamoto Katika maisha ni kawaida na wewe si wa kwanza kuzipitia.
Hakuna changamoto inayompata mtu nje na uwezo wake,pia kulia hakujawahi kuwa suluhu ya changamoto.

Amini Mungu atakufanikisha na utapita kwa ushindi kabisa.. kikubwa usikate tamaa maana Mungu anatengeneza njia mahali ambapo wewe huoni njia wala tumaini kabisa na Amini hakuna linaloshindikana.

Ukijiona useless unakosea sana maana wewe ni wa maana sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvu.. sasa nitaamua kesi ya nani hapa Dogo? Ngoja nimuombe Baba yako Eli79 aje anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize hata baba atakwambia! Mama ananinyanyasa sana mimi sijui hata nilimkoseaga nini!
 
Back
Top Bottom