cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,274
Usijar nakufata cc,Mdogo wangu ukipata muda naomba unitafute Pm .
Kuna vitu nataka tuongee.
Usijar nakufata cc,Mdogo wangu ukipata muda naomba unitafute Pm .
Kuna vitu nataka tuongee.
daaaah jamaaa anakula gay??...inauma sana ingawa hayanihusuRaha ya nyumba mwanaume, wacha nikutunze,
Nyumba yetu tuipambe, huko nyuma tulishindiaga mabwende,
Karanga na makande, kuku ugali dona sembeee,
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko, hawaishi longolongo,
Vimaneno km viroboto, wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto,
Jamani sielew babeeh juaaaa, ukimuona furaha tele moyoni,
Nikomuona anatabasamu usoni.
NAOMBA UNIROGE ×2
kwani mapenzi matamuuuuuuh.
NAOMBA UNIROGE ×2.
mjanja wa cocastieeeeeeeeeeeh. View attachment 1649575
Marudio usiku 😜Yaani roho imeniuma
Nilisinzia,
Fanya marudio tafadhali![]()
Shem Kama shemelaaa😍😍😍😍😍😋😋Raha ya nyumba mwanaume, wacha nikutunze,
Nyumba yetu tuipambe, huko nyuma tulishindiaga mabwende,
Karanga na makande, kuku ugali dona sembeee,
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko, hawaishi longolongo,
Vimaneno km viroboto, wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto,
Jamani sielew babeeh juaaaa, ukimuona furaha tele moyoni,
Nikomuona anatabasamu usoni.
NAOMBA UNIROGE ×2
kwani mapenzi matamuuuuuuh.
NAOMBA UNIROGE ×2.
mjanja wa cocastieeeeeeeeeeeh. View attachment 1649575
Usiku ...Naomba picha plz me sjaona mweeeh
Dgo umezama Sana eeh nakushauri nenda 50/50 sisi wanaume sio Kama unavodhani ili in case likija la kutokea usiyumbe na kwenye masomoRaha ya nyumba mwanaume, wacha nikutunze,
Nyumba yetu tuipambe, huko nyuma tulishindiaga mabwende,
Karanga na makande, kuku ugali dona sembeee,
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko, hawaishi longolongo,
Vimaneno km viroboto, wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto,
Jamani sielew babeeh juaaaa, ukimuona furaha tele moyoni,
Nikomuona anatabasamu usoni.
NAOMBA UNIROGE ×2
kwani mapenzi matamuuuuuuh.
NAOMBA UNIROGE ×2.
mjanja wa cocastieeeeeeeeeeeh. View attachment 1649575
Love you mooooreeee mdogo wangu Mimi...😘😘😘😘..Yani ulivyoniambia zawadi za nyumbani nimekumbuka zile samaki mdogo wangu😋😋😋😋...aaaiiiiii!!!!!...Cc love n mic u moaaaah, hutak zawadi nlizotoka nazo kunyumba?
"Ur life, ur choices," ukielewa maan ya msemo huo, hutopata shida, hebu tuliza koo kwa Pepsi big baridiiiiih nakuja kulipa, naona goga linakukereketa rohoni poleeeeeeeh, life z too short bruuuh, don't complicate t.daaaah jamaaa anakula gay??...inauma sana ingawa hayanihusu
Haswaaaaah cc, lazima nfanye kityuuuh.Love you mooooreeee mdogo wangu Mimi.....Yani ulivyoniambia zawadi za nyumbani nimekumbuka zile samaki mdogo wangu
...aaaiiiiii!!!!!...
Embu fanya kitu kipenzi changu
Mzima lakini?
Ntasubiri hio tyme.Usiku ...
😍😍😍😍 Utafanya Jambo la maana mdogo wangu..Haswaaaaah cc, lazima nfanye kityuuuh.
Haswaaaaaah cc, shemelaaaah ako huyooooh.Shem Kama shemelaaa![]()
Ntakuonesha usijar wee tena, lazima umuonee shemejiooh.Utafanya Jambo la maana mdogo wangu..
Alafu mbona Kama Dada ako nimejikuta natamani nimuone Shem Shem![]()
Basi sawaarrr...mpe hi Shem lake...akizingua nipo hapa💪💪💪💪Haswaaaaaah cc, shemelaaaah ako huyooooh.
😂😂😂😂😂😂 Dada ako nachekelea.. can't wait to kumuona ...🤗😘Ntakuonesha usijar wee tena, lazima umuonee shemejiooh.
Jomoeeeeeeh sie wakunyumba ni motroooooooh, acha tyuuh tuichanganye Dunia wallah,
Kaa mkao wa kumuona sasa,Dada ako nachekelea.. can't wait to kumuona ...
![]()
Zimefika haswaaaaah hat usijar love cc.Basi sawaarrr...mpe hi Shem lake...akizingua tagi nipo hapa![]()
😂😂😂 Mdogo wangu😍😍😍😍 usinivimbishe bichwa basiiii....Jomoeeeeeeh sie wakunyumba ni motroooooooh, acha tyuuh tuichanganye Dunia wallah,
Uwiiiiiiiiiih hapo shemela angu, anakukabidhi na ATM kabisaaaah