Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Raha ya kitumbua kiumuke [emoji39][emoji39][emoji39]
Raha ya kitumbua kiumuke [emoji39][emoji39][emoji39]
Kwani unajiona mzima sasa[emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!
Makiseo miss you mama.
Have a blessed night.
Aiseeee lips chenza [emoji7][emoji7]
Oooh aisee kwahiyo mkuu ulipiga ile nguna yote ukaomba na nchembo?? Kumbe si haba uko vizuri😀😀 mi mzima Ely za Rock city?Ukimaliza kula ugali halafu usishibe ukamwomba mhudumu ukuongezee ugali mwingine(bila kuulipia yaani akuongezee ugali wa bure)
Ule ugali ndo huwa tunaita nchembo(kisukuma)
Kwema lakini mkuu financial services
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Nijikute tu[emoji85][emoji85][emoji85]Kamooo. Miye hujanihamu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ajabu hata pombe hunywi wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani unajiona mzima sasa[emoji2297]
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mama aliniambia niache nimeshaacha
Huyo pambama nae, mie kanishinda.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Huyo pambama nae, mie kanishinda.
Abee ndiyo huwa inanoga zaidi mtumishi. Hii Rabheka hii tuwaachie wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Rabheka
Abee ndiyo huwa inanoga zaidi mtumishi. Hii Rabheka hii tuwaachie wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo pambama nae, mie kanishinda.