Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,927
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Waache wenzio
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Waache wenzio
Heeeeeh dea, yaaan mambo n mengi mda mchache, bas najibana tyuuuh ivo,Chukua tu mdogo wangu.eti ni nini kumekupata..mbona umekuwa adimu kama jasho la nywele hivyo..
Nilikumiss mno ujue..umeshamsalimu daddy wako
Mic u moaaah.
Woyooooooooh [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji7]View attachment 1643846
Daladalani
NakujaView attachment 1643866
Karibuni [emoji177][emoji177]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Haki nimeshindwa kupata usingizi..ikabidi niingie jikoni..nilihisi roho inakata hivi[emoji28][emoji28]uzalendo umeishia hapa kwenye sahani [emoji28]karibuni mduduView attachment 1644195
Nafurahi kusikia hivyoo 💕 wangu...Heeeeeh dea, yaaan mambo n mengi mda mchache, bas najibana tyuuuh ivo,
Mie mwenyew nmekumiss had naumwa,
Huyo daddy alivokua bizzy lol, nkajua nae yupo songea kweny lindo la kupinga al- shaabab huko mitomoni.
Fanya chap kwa haraka 💕Nakuja
Mzee naona emoji inahamishwa tu pakuwekwa 😄
Wait![emoji41][emoji41] [emoji4][emoji4]View attachment 1644135View attachment 1644136
Mtuache na tambo zetu 😁😁😌[emoji238][emoji230]View attachment 1644529
TanteeeeeeeeerhFanya chap kwa haraka [emoji177]
ndio mzee...nimekuudhi au kukukera niombe radhi mkuuMzee naona emoji inahamishwa tu pakuwekwa [emoji1]
Jizazi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Si ajabu hata pombe hunywi wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!