Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20201207_204136.jpg
20201207_202555.jpg
 
Uwiiiii shenzy we binti wallahi umenizidi.

Mwaka 2017 marafiki zangu walinilazimisha bhana ninywe hiyo pombe mbili tu sikujua nilifikajenyumbani ila nilijikuta nimelala ndani na mlango nimeufunga safi kabisa.sijawahi rudia tena

Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!
 

Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!
6B42449C-7503-493E-95E7-82F5366B0D51.jpeg

Eti
unasemaje??naungana na hao watu bilioni moja kukushangaa.

Babeki bia zote hizo unazokunywa ni shoka.

shikamoo mdogo wangu🙌
 
Uwiiiii shenzy we binti 🤪🤪🤪wallahi umenizidi.🤣

Mwaka 2017 marafiki zangu walinilazimisha bhana ninywe hiyo pombe 🤪🤪mbili tu sikujua nilifikajenyumbani ila nilijikuta nimelala ndani na mlango nimeufunga safi kabisa.🙌🙌sijawahi rudia tena 😁😁
Same here, mi nilishindwa kulenga ufunguo kwenye kitasa nikalala zangu kibalazani na ufunguo mkononi.. Niliamka nahisi kichwa kina mawe kwa ndani😀😀
 
Back
Top Bottom