Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji109][emoji109]
Screenshot_2020-12-09-08-05-32-1.jpg
 
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu Ibariki Tanzania
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na amani
Zote ni nguzo zetu
Mungu Ibariki
Tanzania na watu wake....
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

tapatalk_1526462595810.jpg
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mambo ya ndizi ahsanteeee sasa hapo umenikumbusha moshi ngoja nikale machalari kipindi hichi cha sikukuu kule moshi, ndizi utumbo mwingiiiii nimetamani ika hujaweka parachichi sasa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39],
 
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu Ibariki Tanzania
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na amani
Mungu Ibariki
Tanzania na watu wake....
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

View attachment 1645204
Tubariki watoto wa Tanzania...
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mambo ya ndizi ahsanteeee sasa hapo umenikumbusha moshi ngoja nikale machalari kipindi hichi cha sikukuu kule moshi, ndizi utumbo mwingiiiii nimetamani ika hujaweka parachichi sasa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39],
Maparachichi yanatia uvivu kununua hovyo huku mjini maana bei si haba alafu kukutana na mabaya rahisi sana 😬😬 Mpaka niende sokoni nikachague....

Ukienda Moshi usiache kutuma picha humu na sie tutakaokosa rokoo tujione kama vile tupo home 🙃🙃
 
Huku Lizzy ni kwa moto sana, haya mazingira yanaruhusu uwepo wa upendo mkubwa na kwa michezo ya wakubwa pia, mkitulia huku na wine zenu, nyama choma, mtajiona mpo dunia nyingine kuko tulivu mno inaonyesha
😆😆😆 mwenzio nilikuwa kazini ila you are right....panafaa sana kwa mapumziko kama yale unayopanga kuyaendea Zenji!!🙂🙂
 
Back
Top Bottom