Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
A big AMEN
Shalom Tanzania
Ubarikiwe na Bwana
Nakutakia amani[emoji2772]
Shalom Tanzania
Ubarikiwe na Bwana
Nakutakia amani[emoji2772]
Hii shindikana sio ya nchi hii. Labda Eli79 atawezana nae.
Inipiteje?
Mweeeeh[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hahaa yeye mwenyewe ka-surrender
Weka bwana.Kama vinavyokupitaga vingine
Eeh ndo sitaki sasa.Weka bwana.
Khaaah!!Eeh ndo sitaki sasa.View attachment 1645394
Hapana mkuu wala usiwazendio mzee...nimekuudhi au kukukera niombe radhi mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ehhh, kuna zile parachichi za rombo parachichi kubwa mithili ya papai, usikonde nitatuma pichaMaparachichi yanatia uvivu kununua hovyo huku mjini maana bei si haba alafu kukutana na mabaya rahisi sana [emoji51][emoji51] Mpaka niende sokoni nikachague....
Ukienda Moshi usiache kutuma picha humu na sie tutakaokosa rokoo tujione kama vile tupo home [emoji854][emoji854]
[emoji38][emoji38][emoji38] mwenzio nilikuwa kazini ila you are right....panafaa sana kwa mapumziko kama yale unayopanga kuyaendea Zenji!![emoji846][emoji846]
Mi nipo Sumbawanga mkuu, karibu sanaaYeah!!..nilimaliza ila sikutosheka nikaomba na nchembo.
Rock city kwema/salama kabisa mkuu
Wewe uko wapi mkuu financial services
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
ipo siku nitakamilisha picha yako Mkuu... hapa nimeshaona mwili na Lips😅
Endelea kujitahidi Chief..kesho nitaweka pua.lakini usiamini picha zote ninazoziweka huku ni mimi loh🤪🤪ipo siku nitakamilisha picha yako Mkuu... hapa nimeshaona mwili na Lips😅
😅😅weka macho pua tutabunu tuu😋Endelea kujitahidi Chief..kesho nitaweka pua.lakini usiamini picha zote ninazoziweka huku ni mimi loh🤪🤪
Macho ndo kila kitu naanzaje kutokuweka sasa..😅😅weka macho pua tutabunu tuu😋