Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Same here, mi nilishindwa kulenga ufunguo kwenye kitasa nikalala zangu kibalazani na ufunguo mkononi.. Niliamka nahisi kichwa kina mawe kwa ndani😀😀
😅😅😅😅🙌🙌🙌kwako Chief aiseh pole na hongera pia..

Najaribu kuwaza kwa kina wale marafiki zangu walitaka kuniua ama nini maana ndo bia ya kwanza chungu kuanza kuikunywa
 
IMG-20200928-WA0010.jpg
 
Uwiiiii shenzy we binti [emoji2957][emoji2957][emoji2957]wallahi umenizidi.[emoji1787]

Mwaka 2017 marafiki zangu walinilazimisha bhana ninywe hiyo pombe [emoji2957][emoji2957]mbili tu sikujua nilifikajenyumbani ila nilijikuta nimelala ndani na mlango nimeufunga safi kabisa.[emoji119][emoji119]sijawahi rudia tena [emoji16][emoji16]
Hukukuta mabadiriko yoyote yale ya kimwili?[emoji1]

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa hujitambui(muda wa shetani kufanya kazi yake na kusingiziwa/kutupiwa lawama)[emoji1]

Au walikuwa marafiki zako wa kike?

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Chizi kabisa wewe eti nini😅😅😅😅😅
Ishu ni kwamba sikuwa na kumbukumbu nilipanda usafiri gani ukanifikisha home.nilijikuta niko nyumbani salama salimini

Walikuwa ni wafanyakazi wenzangu wakike kwa waume😅😅😅

Ulishawahi kung’ang’anizwa kitu na marafiki zako ambao wanapiga masanga😁😁😁ni kizai zai aiseh asikwambie mtu🤪🤪
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we hatari sana!
 
Back
Top Bottom