Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Kitendo cha mwanamke kukunywa balimi au safari huo ni ushindi kama wa Daudi kwa Goliath mama😅😅😅 I salute you mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mie nikinywa nyingi zinanipelekesha jamani siyo kwamba ndiyo silewi eti