Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ningekuwa mimi ndo mfanyakazi mwenzio ulivyokuwa umelewa na hujitambui ningejaribu kupima hata oil[emoji1][emoji1]

Natania tu ndugu yangu mzuri

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Nitakuzibua vitasa we msukuma..wapi nimeandika sikujitambua...muone kwanza

😅😅😅muoneni huyu jamani we ulisikia wapi binadamu akapimwa oil ee ulisikia wapi?

Naona umejihami kabisa😅😅ungekula kinazi cha fasta fasta ukate moto🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
[emoji238][emoji230]
IMG-20201203-WA0019.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!
Mbona nina kazi mimi na huyu mdogo angu jamani

Espy njoo umchukue mwanao
 
Nitakuzibua vitasa we msukuma..wapi nimeandika sikujitambua...muone kwanza

[emoji28][emoji28][emoji28]muoneni huyu jamani we ulisikia wapi binadamu akapimwa oil ee ulisikia wapi?

Naona umejihami kabisa[emoji28][emoji28]ungekula kinazi cha fasta fasta ukate moto[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Hahaha...kumbe hukuwa na kumbukumbu.

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom