Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

B55BC984-5827-414E-B0AE-9EF41ACD2B08.jpeg

Karibuni 💕💕
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mlinifukuzisha Tansy wangu mkuajua imeishia hapo kuitwa baby [emoji23][emoji23][emoji23] bado wapo wengine uniita kimoyo moyo
Hivi kumbe tunauwezo wa kumfukuza mtu ee...safi.

Tuliza kitenesi mama jamani...kuna huyu kivuruge wangu Iceberg9 na rafiki yangu kipenzi kabisa mtu chake wakikuita baby inatosha🤪🤪
 
Hivi kumbe tunauwezo wa kumfukuza mtu ee...safi.

Tuliza kitenesi mama jamani...kuna huyu kivuruge wangu Iceberg9 na rafiki yangu kipenzi kabisa mtu chake wakikuita baby inatosha[emoji2957][emoji2957]
Hahaha mtu chake muone hvo hvo na ukimya wake anaovo onekana hnaga haraka na mambo lakin ana jambo lake hyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom