Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,222
"sipendi kufanya tendo la ndoa"!
We Karma weweeeee, lilivyo tamu inakuwaje usilipende, have you even tried it????![]()





"sipendi kufanya tendo la ndoa"!
We Karma weweeeee, lilivyo tamu inakuwaje usilipende, have you even tried it????![]()





"sipendi kufanya tendo la ndoa"!
We Karma weweeeee, lilivyo tamu inakuwaje usilipende, have you even tried it????![]()






Nikikumbuka kachapati kamoja nilikokula asubuhi kamenivimbisha tumbo hadi sasa hivi, naziwazia hizo tatu sipati majibu.
Utamu gani?
Hivi mbona kwenye utamu mwingine huwa hatulazimishani namna hii? Kwanini iwe kwenye tendo la ndoa tu?
Ought to try that sht
Sure, give it a go.Ought to try that sht
Ouk usjal dea, nmekuelewa.Daah hapa kidogo nitashindwa kukupa ufafanuzi vizuri juu ya hili! Lakini nafikiri jaribu kugoogle maana ya haya maneno mawili "Asexuality" na "Gamophobia" ndiyo utanielewa vizuri nilichozungumzia hapo!
Ahsant c* akeeehKaribu tena
Ahsant c* akeeehKaribu tena
Huwa najua niko peke angu kwenye hili suala, kumbe tupo wengi, lol ubarikiwe pia dea.Mimi hata nikiwa billionaire! Sioni uhitaji wa kuwa na mwanaume wala watoto kwa sababu sipendi kufanya tendo la ndoa wala siko tayari kujicommit kwenye mahusiano au ndoa!
Tanteeeeeeeeeeh najiona mie kabisaaah.Si unaona sasa! Tatizo umenijudge bila kuelewa wala kujua kwa undani yaani umenijudge kupitia haya machache tu niliyoyaandika humu!
Ndiyo maana huwa mnaambiwa msipende ku judge a book by its cover na msipendi kujudge watu bila kuwajua kwa undani! Na hata hivyo kama umenisoma vizuri utagundua hakuna sehemu nimesema mimi sihitaji kupenda mimi kupenda napenda na naweza nikampenda mtu kupita kiasi ila tu huwa sihitaji kupendwa pia!
Kuhusu hayo mambo ya asexuality na gamophobia nafikiri haujaona hiyo comment niliyomjibu cocastic! I am one of asexual and gamophonic people na huwa sihitaji msaada wa kisaikolojia juu ya hili sababu naipenda hii hali!
Huo upendo wa aina nyingine ninao sana tu mkuu huwa napenda watu wote wazazi ndugu jamaa na marafiki ila tu mimi huwa siweki matarajio makubwa kwao na siwezi kuhitaji wanipende pia (isipokuwa wazazi wangu na ndugu zangu niliozaliwa nao tumbo moja hao ndiyo nina imani nao)! Huwa sitaki kujipa moyo kuwa eti kwa sababu nampenda mtu fulani basi na yeye atakuwa ananipenda au anatakiwa anipende no mi mtu anipende au asinipende naona sawa tu hivyo ndivyo nilivyo wala siwezi jilazimisha kuwa tofauti!





Siyo kwamba case yako ni tofauti kidogo na yangu dearHuwa najua niko peke angu kwenye hili suala, kumbe tupo wengi, lol ubarikiwe pia dea.
Haswaaaah dea.Siyo kwamba case yako ni tofauti kidogo na yangu dear