Hivi kuna binadamu anayekubali kutesekaSema karma huo mtindo wa maisha ni kujitesa, sawa unaweza kuwa na furaha kwa namna unavyoishi lakini huna furaha
Jirani kwema
Unaenda wapi jiraniNimeshapita hapo mda mrefu kidogo..naogopa kwenda kumsalimia huyo mtu naweza kuibuka na kasheshe nyingine.
Labda kama angekuwa Same
Kwema jirani..za kwakoJirani kwema
Hivi kumbe ni mpare wa SameNimeshapita hapo mda mrefu kidogo..naogopa kwenda kumsalimia huyo mtu naweza kuibuka na kasheshe nyingine.
Labda kama angekuwa Same
Okey okey imeisha hiyo, ni tamaduni na kanuni zakoNdiyo maana nasema mmekariri
And what if hakuna jambo lililonitokea
Natoka Moshi na Arusha narudi Dar jiraniUnaenda wapi jirani
Zangu nzuri umenitupa sana jiraniKwema jirani..za kwako
Kumbe ulikua Arusha, mbona hukunistua sasaNatoka Moshi na Arusha narudi Dar jirani
umetupana jiraniZangu nzuri umenitupa sana jirani
Arusha nilikuwa juzi jirani..sikukuona hewani kwa muda mrefu kidogo jirani ndo manaKumbe ulikua Arusha, mbona hukunistua sasa
Sijakusikia kabisaSema t
umetupana jirani
Arusha nilikuwa juzi jirani..sikukuona hewani kwa muda mrefu kidogo jirani ndo mana
Poa poaJirani bhana😅😅Sijakusikia kabisa
Ee ndiyo ndiyoOkey okey imeisha hiyo, ni tamaduni na kanuni zako
Nimejaribu kuhisi tusina uhakika kama ni wa same




Unahamu ya kutupiwa jini mkata kamba😅😅😅😅😅😅
Hawezi kuwa mpare wa Mwanga huyo kina Mshana wengi ni Same