Ungekuwa ni asexual au gamophob tungesema unahitaji msaada wa kisaikolojia( nachojua hawa mahusiano ya kimapenzi na commitment zake ndo hawawezi).
Ungekuwa mtoto kama wengi wanavokuita hapa tungeshauri usubiri ukue uyaone mengi am sure ungebadilika mbeleni.
Ila kwa kesi yako naona kama hauangukii popote kati ya hizo scenario mbili juu maana we hutaki na huwezi kupenda hata kwa mapenzi ya kawaida mf yale ya Yesu na kondoo wake, mtu na rafiki yake, mtu na ndugu yake nk. Sasa jamani kama hadi wanyama wasio na rationality wanahitaji kupenda na kupendwa, we utakuwa kiumbe wa dizaini gani?
Anyways Karma sio kesi, hayo ni maisha yako na we ndo unaejua unahitaji nini katika haya maisha.
Wako ninaetamani kukupenda, kaka BUSH BIN LADEN
Si unaona sasa! Tatizo umenijudge bila kuelewa wala kujua kwa undani yaani umenijudge kupitia haya machache tu niliyoyaandika humu!Daah hapa kidogo nitashindwa kukupa ufafanuzi vizuri juu ya hili! Lakini nafikiri jaribu kugoogle maana ya haya maneno mawili "Asexuality" na "Gamophobia" ndiyo utanielewa vizuri nilichozungumzia hapo!
Sounds boring.Si unaona sasa! Tatizo umenijudge bila kuelewa wala kujua kwa undani yaani umenijudge kupitia haya machache tu niliyoyaandika humu!
Ndiyo maana huwa mnaambiwa msipende ku judge a book by its cover na msipendi kujudge watu bila kuwajua kwa undani! Na hata hivyo kama umenisoma vizuri utagundua hakuna sehemu nimesema mimi sihitaji kupenda mimi kupenda napenda na naweza nikampenda mtu kupita kiasi ila tu huwa sihitaji kupendwa pia!
Kuhusu hayo mambo ya asexuality na gamophobia nafikiri haujaona hiyo comment niliyomjibu cocastic! I am one of asexual and gamophonic people na huwa sihitaji msaada wa kisaikolojia juu ya hili sababu naipenda hii hali!
Huo upendo wa aina nyingine ninao sana tu mkuu huwa napenda watu wote wazazi ndugu jamaa na marafiki ila tu mimi huwa siweki matarajio makubwa kwao na siwezi kuhitaji wanipende pia (isipokuwa wazazi wangu na ndugu zangu niliozaliwa nao tumbo moja hao ndiyo nina imani nao)! Huwa sitaki kujipa moyo kuwa eti kwa sababu nampenda mtu fulani basi na yeye atakuwa ananipenda au anatakiwa anipende no mi mtu anipende au asinipende naona sawa tu hivyo ndivyo nilivyo wala siwezi jilazimisha kuwa tofauti!
😀😀Si unaona sasa! Tatizo umenijudge bila kuelewa wala kujua kwa undani yaani umenijudge kupitia haya machache tu niliyoyaandika humu!
Ndiyo maana huwa mnaambiwa msipende ku judge a book by its cover na msipendi kujudge watu bila kuwajua kwa undani! Na hata hivyo kama umenisoma vizuri utagundua hakuna sehemu nimesema mimi sihitaji kupenda mimi kupenda napenda na naweza nikampenda mtu kupita kiasi ila tu huwa sihitaji kupendwa pia!
Kuhusu hayo mambo ya asexuality na gamophobia nafikiri haujaona hiyo comment niliyomjibu cocastic! I am one of asexual and gamophonic people na huwa sihitaji msaada wa kisaikolojia juu ya hili sababu naipenda hii hali!
Huo upendo wa aina nyingine ninao sana tu mkuu huwa napenda watu wote wazazi ndugu jamaa na marafiki ila tu mimi huwa siweki matarajio makubwa kwao na siwezi kuhitaji wanipende pia (isipokuwa wazazi wangu na ndugu zangu niliozaliwa nao tumbo moja hao ndiyo nina imani nao)! Huwa sitaki kujipa moyo kuwa eti kwa sababu nampenda mtu fulani basi na yeye atakuwa ananipenda au anatakiwa anipende no mi mtu anipende au asinipende naona sawa tu hivyo ndivyo nilivyo wala siwezi jilazimisha kuwa tofauti!
Usijali picha ntaweka siku yoyote, we endelea kuwa hapa..Mkuu nasubiri picha yako
Usijali picha ntaweka siku yoyote, we endelea kuwa hapa..

Very TrueSounds boring.
Kwanza mie nilikuwa naongea na Makiseo na Saint Anne na tulishayamaliza hayo! Ninyi wengine sijui mmeibukia wapi mara mtoe ushauri nasaha mara sijui mseme mimi mtu wa ajabu mwe!
Tule picha?
Press a chill button kid.Kwanza mie nilikuwa naongea na Makiseo na Saint Anne na tulishayamaliza hayo! Ninyi wengine sijui mmeibukia wapi mara mtoe ushauri nasaha mara sijui mseme mimi mtu wa ajabu mwe!
Tusamehe kwa kuchangia mazungumzo yanayofanyika kwenye public platform.Kwanza mie nilikuwa naongea na Makiseo na Saint Anne na tulishayamaliza hayo! Ninyi wengine sijui mmeibukia wapi mara mtoe ushauri nasaha mara sijui mseme mimi mtu wa ajabu mwe!
Hahaha....ule nyamaTule picha?
Nataka samaki.Hahaha....ule nyama
Samaki wapo mkuu ni wewe tu kuwa na utayari wa kuwala.....Nataka samaki.
Endelea mwaya!! Labda itakusaidia!!Tusamehe kwa kuchangia mazungumzo yanayofanyika kwenye public platform.
"sipendi kufanya tendo la ndoa"!Mimi hata nikiwa billionaire! Sioni uhitaji wa kuwa na mwanaume wala watoto kwa sababu sipendi kufanya tendo la ndoa wala siko tayari kujicommit kwenye mahusiano au ndoa!

Kwema.Samaki wapo mkuu ni wewe tu kuwa na utayari wa kuwala.....
Vipi kwema lakini