Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si unaona sasa! Tatizo umenijudge bila kuelewa wala kujua kwa undani yaani umenijudge kupitia haya machache tu niliyoyaandika humu!

Ndiyo maana huwa mnaambiwa msipende ku judge a book by its cover na msipendi kujudge watu bila kuwajua kwa undani! Na hata hivyo kama umenisoma vizuri utagundua hakuna sehemu nimesema mimi sihitaji kupenda mimi kupenda napenda na naweza nikampenda mtu kupita kiasi ila tu huwa sihitaji kupendwa pia!

Kuhusu hayo mambo ya asexuality na gamophobia nafikiri haujaona hiyo comment niliyomjibu cocastic! I am one of asexual and gamophonic people na huwa sihitaji msaada wa kisaikolojia juu ya hili sababu naipenda hii hali!

Huo upendo wa aina nyingine ninao sana tu mkuu huwa napenda watu wote wazazi ndugu jamaa na marafiki ila tu mimi huwa siweki matarajio makubwa kwao na siwezi kuhitaji wanipende pia (isipokuwa wazazi wangu na ndugu zangu niliozaliwa nao tumbo moja hao ndiyo nina imani nao)! Huwa sitaki kujipa moyo kuwa eti kwa sababu nampenda mtu fulani basi na yeye atakuwa ananipenda au anatakiwa anipende no mi mtu anipende au asinipende naona sawa tu hivyo ndivyo nilivyo wala siwezi jilazimisha kuwa tofauti!
Utaua mtu na presha eti
 
Hii mvua si fresh kabisa 😬😬
20201109_141018.jpg
20201109_140836.jpg
 
Back
Top Bottom