Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nadhani ukichaa unaanza kupimwa pale unaposhindwa kucontrol feelings na emotions. So whether ukipenda unapenda kupindukia au haupendi kabisa hata umpate mtu anaekupenda kwa dhati, zote ni dalili za ukichaa.
Anyways kwa kuwa ni mtu hadi wewe unamuita dogo huenda kuna mengi hajayaona, so tumuombee kila la heri aweze kubomoa hili box la fikra alilojifungia ndani.. Amen
Mkuu nikuulize swali?
Hapa duniani tuko watu zaidi ya billion saba ukiacha wanaokufa na wanaozaliwa kila siku je una uhakika ni binadamu wote wanajihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi au wanaoa/wanaolewa na wanazaa watoto?
 
Nahitaji kujua hili pia, tena ikipendeza ufafanuzi uwe vizuri kabisaaa, nipate kuelewa.
 
Nahitaji kujua hili pia, tena ikipendeza ufafanuzi uwe vizuri kabisaaa, nipate kuelewa.
Daah hapa kidogo nitashindwa kukupa ufafanuzi vizuri juu ya hili! Lakini nafikiri jaribu kugoogle maana ya haya maneno mawili "Asexuality" na "Gamophobia" ndiyo utanielewa vizuri nilichozungumzia hapo!
 
Nadhani ukichaa unaanza kupimwa pale unaposhindwa kucontrol feelings na emotions. So whether ukipenda unapenda kupindukia au haupendi kabisa hata umpate mtu anaekupenda kwa dhati, zote ni dalili za ukichaa.
Anyways kwa kuwa ni mtu hadi wewe unamuita dogo huenda kuna mengi hajayaona, so tumuombee kila la heri aweze kubomoa hili box la fikra alilojifungia ndani.. Amen
amen

Naomba ujiselfishe sasa,serikali imerudisha mtandao wetu
 
Mkuu nikuulize swali?
Hapa duniani tuko watu zaidi ya billion saba ukiacha wanaokufa na wanaozaliwa kila siku je una uhakika ni binadamu wote wanajihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi au wanaoa/wanaolewa na wanazaa watoto?
Siku nikukutana na wewe lazima nikachape vibao viwili vizito uamke kwenye huo usingizi ulionao
 
Mimi hata nikiwa billionaire! Sioni uhitaji wa kuwa na mwanaume wala watoto kwa sababu sipendi kufanya tendo la ndoa wala siko tayari kujicommit kwenye mahusiano au ndoa!
Mimi nikitengamaa nadhani nitakuwa na uhitaji huo
Sasa hivi hamu naitoa wapi hata direction Sina.

Kwa jinsi ninavyopenda watoto Mungu anipe tu japo mmoja..na anipe mume mwema,nikikosa kabisa mume mwema basi nitabaki hivi japo kubaki hivi ni option ya mwisho.
 
Ungekuwa ni asexual au gamophob tungesema unahitaji msaada wa kisaikolojia( nachojua hawa mahusiano ya kimapenzi na commitment zake ndo hawawezi).
Ungekuwa mtoto kama wengi wanavokuita hapa tungeshauri usubiri ukue uyaone mengi am sure ungebadilika mbeleni.
Ila kwa kesi yako naona kama hauangukii popote kati ya hizo scenario mbili juu maana we hutaki na huwezi kupenda hata kwa mapenzi ya kawaida mf yale ya Yesu na kondoo wake, mtu na rafiki yake, mtu na ndugu yake nk. Sasa jamani kama hadi wanyama wasio na rationality wanahitaji kupenda na kupendwa, we utakuwa kiumbe wa dizaini gani?

Anyways Karma sio kesi, hayo ni maisha yako na we ndo unaejua unahitaji nini katika haya maisha.
Wako ninaetamani kukupenda, kaka BUSH BIN LADEN
Mkuu nasubiri picha yako
 
Back
Top Bottom