Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
hahaha;Usitume tena za magwanda naweza nikajikuta nafall in love bure
hujui tu na Mimi namna gani izo bastola zako
Zilivyonichanganya.
Najikuta nataka kukugawia ATM card hivi hivi
hahaha;Usitume tena za magwanda naweza nikajikuta nafall in love bure
Mimi nimekuelewa.Form yako ibaki hivyo hivyo lakini assist ndiyo nzuri zaidi usiwe unafunga mwenyewe
Sanchez Magoli
Hayo ni mazungumzo baada ya Habari Mkuu, wewe unaona nini ???

Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
Nimalizie hasira kwako Ili uniue kabisa!??Hahahaha!!
Nipo tiyari kubeba msalaba wao wa dhambi
Njoo uzimalizie hasira kwa Sanchez
Naahidi kuwa mtulivu
mpaka wewe;;Tunafanana kumbe
wewe ndio uko deep sanaHata unayechat naye pia hajui
Mekumiss pia mamii..Nimekumiss mama. Mjini wakuja lini tena?
Acha uchoyo jamanihahaha mama ake;
Nimeshika silaha, nikimaliza lindo ntaselfika kwa ajili yako.
Usijali kabisa
Usisahau kunitag nioneNgoja ntatafuta picha mwanya unaonekana vizuri
Kabisa... Ni kuwakalia Kimya tu.Tena walaaniwe haswa.. uzembe wao wa kutojua kizuri na kibaya ndo wanatujumlisha wote huko
Kila lakheriNimeshapata mume.
Kuna watu wanafaidi sanaNimeshaskia kuringa!!
Ngoja niwaaminishe wewe na Saint anne vile nilivyo chibonge wa ukweli.!!
View attachment 1221354
this morning..!!
Sisi watanga ni mwiko kumpiga mtoto wa kike.Nimalizie hasira kwako Ili uniue kabisa!??
eeebwana eeehYaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400
Sisi watanga ni mwiko kumpiga mtoto wa kike.
Huwa tunatumia kanga ama mito ikitokea bahati mbaya.
Naona mnaniuza na lugha yenu ya mafumbo.Hahahahaha
Curiosity killed the cat they say..
Sawa dearkwako siwezi!!
aki tena