Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,621
- 69,357
Mi nisingeoa kuepusha lawama
Lini nitaoa, nioe nani mm, mbona hayo mambo yanachanganya sna
Lini nitaoa, nioe nani mm, mbona hayo mambo yanachanganya sna
Maneno unayosema ni mazuri tena matamu sikioni ila tatizo ni moja humuambii peke yake!!hahaha;
hujui tu na Mimi namna gani izo bastola zako
Zilivyonichanganya.
Najikuta nataka kukugawia ATM card hivi hivi
Acha uchoyo jamani
Mie ni SweetieLee mkuu, sweetlee unamtag mrembo wa watu..!!
Jumamosi jamaniiWe mama marudio lini?
Jumamosi jamanii
Hapo sasa unaharibu dear...Nitakuwepo hapa kuisubiri na safari hii ntaisave hakuna namna
What if uka fall deep kwa msogeza siku??Eeeeh.. kuna mtu wa kusogeza siku tuu
Mbona napost kwa Mara ya tatu Sasa.hii umetuingiza cha uani

Maneno unayosema ni mazuri tena matamu sikioni ila tatizo ni moja humuambii peke yake!!








Dimpoziiii finally 🔥🔥🔥🔥🔥
Wacha weeh!Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400
Vimbau mbona tushajitupia 😂😂😂Aisee Jf kuna visu hatari, bado sijaona ma model, huku nnaona misambwanda tuu Jamani hata nyie ma model tumeni tufarahie uumbaji...wazee wa closer to the bone tupo
🙄🙄 nani alificha weweUzi unakimbia huu
Shabiby 🔥