Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

1598047154180.png

Huo ugali ule unaitwa "nguna"

Jamani swali la kizushi?

Kama wazungu wanavyobishana nchi gani kaanzisha cheese(jibini) au chips(vihepe)
Kwa Africa nchi gani ilianzisha ugali???
sababu nimekutana na wazambia, wazimbabwe, wasouth, wakenya na ............
wote wanajua ugali

Ugali - Wikipedia
 
View attachment 1544415

Ugali uligunduliwa na Wasukuma. Tafiti zote zinakubaliana ...

Tunaambiwa eti mahindi yaliletwa Afrika na Wareno...na ulezi, mihogo na mtama sijui na watu gani. Kama hii ni kweli pengine inawezekana kufuatilia historia ya kuenea kwa ugali kwa kufuatilia historia ya wavamizi hawa ilivyokuwa katika bara la Afrika...na huko walikotoka....just an innocent observation
 
Chakula kama hiki ndiyo unakula halafu unakwenda kulala au ukifika home unakuta kuna chakula i.e. ugali? Watu mna matani kweli aisee
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png

Kama wangejua haya maradhi ya kujitakia,

Haya Neno la Siku

Ugali uligunduliwa na Wasukuma. Tafiti zote zinakubaliana ...

Tunaambiwa eti mahindi yaliletwa Afrika na Wareno...na ulezi, mihogo na mtama sijui na watu gani. Kama hii ni kweli pengine inawezekana kufuatilia historia ya kuenea kwa ugali kwa kufuatilia historia ya wavamizi hawa ilivyokuwa katika bara la Afrika...na huko walikotoka....just an innocent observation

🤣
Yaani wasukuma nawakubali sana wakarimu mno
Huwezi kufa njaa vijijini kwao
Hasa wa Shinyanga ndio ORIGINAL hasa
mimi nimezaliwa huko huko kwa mwidebe na maziwa ya mgando asubuhi.
Wabeja lolo gete gete mola sana
 
Back
Top Bottom