Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Leo unaweka picha usiku wa manane kama jana au nikalale tu? [emoji16][emoji16][emoji16]Nilale nikose uhondo wa picha..!!..Nani kasema
Leo unaweka picha usiku wa manane kama jana au nikalale tu? [emoji16][emoji16][emoji16]Nilale nikose uhondo wa picha..!!..Nani kasema
Chakula kama hiki ndiyo unakula halafu unakwenda kulala au ukifika home unakuta kuna chakula i.e. ugali? Watu mna matani kweli aisee![]()
![]()
![]()
Kama wangejua haya maradhi ya kujitakia,
Haya Neno la Siku
Akhsante ostaz Zurri[emoji4]
Jurjani ndiyo Ostaadh Zurri?Akhsante ostaz Zurri[emoji4]
Akhsante ostaz Zurri[emoji4]
HahahahaJurjani ndiyo Ostaadh Zurri?
Na hakuna injili ya uzima hapo mkuu. Injili ya kisasa ya kishereheshaji ambayo haimsaidii mtu kutubu dhambi na hatimaye kuiona mbingu. Hii hakuna tofauti na mtu aliyekwenda kwenye comedy club [emoji51 said:[emoji51][emoji51]
Haya mkuu. Tutakwenda mbinguni kwa neema ya Mungu tu na si vinginevyo ila kwangu mimi ni afadhali niende kwenye kanisa ambalo linahubiri kweli kama ilivyo kwenye Biblia bila kupepesa macho kuliko hii feel good na prosperity gospel ambayo hainisaidii lo lote kiimani. Ni sawa kuwa charismatic lakini vyote visimame katika Neno. Siyo unaingia kanisani mwanzo mwisho ni comedy unatoka hata hujui ni kwa nini ulienda kanisani.Bora hawa wanabudu kwa furaha mkuu with reality check.
mimi nikienda kusali nikiingia tu ni vitisho kwa kwenda mbele, naambiwa nikifa nitachomwa moto mpaka majivu halafu na majivu nayo yatachomwa moto mpaka makapi na makapi nayo yatachomwa moto yaani hii circle ni kwa kwenda mbele
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝Bora hawa wanabudu kwa furaha mkuu with reality check.
mimi nikienda kusali nikiingia tu ni vitisho kwa kwenda mbele, naambiwa nikifa nitachomwa moto mpaka majivu halafu na majivu nayo yatachomwa moto mpaka makapi na makapi nayo yatachomwa moto yaani hii circle ni kwa kwenda mbele
Safi sanaMazoezi time[emoji2088]View attachment 1509932
✌🏿🥂🥂🥂Safi sana
[emoji3097][emoji3097] duuuuuuuh [emoji177][emoji177]Mazoezi time[emoji2088]View attachment 1509932
Tuko pamoja.Akhsante ostaz Zurri[emoji4]
Ndiyo mimi mzee.Jurjani ndiyo Ostaadh Zurri?
Bibie ninacho kupendea wewe ni mtu wa furaha muda wote aisee.[emoji3097][emoji3097] duuuuuuuh [emoji177][emoji177]
Mazoezi darling💞💞💞naianza wikend kuikataa stress[emoji3097][emoji3097] duuuuuuuh [emoji177][emoji177]
Dah [emoji23] [emoji23]Jombaa wenzako wanawekaga mikono yenye saa kali kali na funguo za ndinga.
We unatuwekea miguu.
Umezingua bwana
Tanteeeeeeeeeeeh huhuhuhuh na weeee kuwa na furaha muda wote.Bibie ninacho kupendea wewe ni mtu wa furaha muda wote aisee.
Safi sana.
Wacha weeeeeeee, ts guuuudMazoezi darling[emoji179][emoji179][emoji179]naianza wikend kuikataa stress