cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Hahahaha eti eeeh, afu naskia umepost msosi plz hebu nione kwan, huenda nkaibukia hapo lolImeisha hiyoooo [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha eti eeeh, afu naskia umepost msosi plz hebu nione kwan, huenda nkaibukia hapo lolImeisha hiyoooo [emoji28][emoji28][emoji28]
Duuuuh kuna mkaka anakula hii mihogo khaaah, tena akipata na chachandu hadi anajisahau kabisaah mweeeehView attachment 1544608Haya tuzimue kidogo na mihogo [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Oga vizuri..Uvae ile nguo inayokupendezaga zaidi nakutumia lokeshooo....Nipe location
Weekend Leo niponipo tu
Jomoneeeh kipua cha kichokozi lol
Ni mihogo aiseh...kama umezoea vitu vya kizungu hivi usiguse..utaumwa tumboHahahaha eti eeeh, afu naskia umepost msosi plz hebu nione kwan, huenda nkaibukia hapo lol
Wewe hupendi mihogo..Duuuuh kuna mkaka anakula hii mihogo khaaah, tena akipata na chachandu hadi anajisahau kabisaah mweeeeh
Nimeona hapo juu, hiyo nakulaga home ya kuchemsha, swez kula ikiwa kwa mtindo wa kiepe. UwiiiiiihNi mihogo aiseh...kama umezoea vitu vya kizungu hivi usiguse..utaumwa tumbo
Ooh nakujaOga vizuri..Uvae ile nguo inayokupendezaga zaidi nakutumia lokeshooo....
Mie ya kuchemsha au futari dea jomoneeh.Wewe hupendi mihogo..
Mi napenda mihogo [emoji28][emoji28]
Tukaribishane Rafiki sio kuringishiana tuView attachment 1544608Haya tuzimue kidogo na mihogo [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Umeshachelewa rafiki...pole!nitakukaribisha siku nyingineTukaribishane Rafiki sio kuringishiana tu
Ohoooo...vizuri..Nimeona hapo juu, hiyo nakulaga home ya kuchemsha, swez kula ikiwa kwa mtindo wa kiepe. Uwiiiiiih
😅😅😅haki mtakatifu unajijuaga mwenyewe mdogo wangu😎Ooh nakuja
Halafu Leo nimependeza,,kuna designer kajitolea kunidesign nguo ya ajabu ajabu hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nikija ntavaa mwendokasi wangu
Let next move be nyagi n then muscle tasteWa kienyejiView attachment 1543925
Hahahaha, haya banaUmeshachelewa rafiki...pole!nitakukaribisha siku nyingine
Hiyo haya bhana ni ya kinyonge sana.😅😅hakuna namna😎😎Hahahaha, haya bana