T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Habari ya wikendi njema/salama kabisa mkuuNi poa sana...
Habari ya wikend mku
Karibu
Habari ya wikendi njema/salama kabisa mkuuNi poa sana...
Habari ya wikend mku
Ni vyema kama ikosalamaHabari ya wikendi njema/salama kabisa mkuu
Karibu
Mtoto wa kiume kaza bhana acha wogaJombaa tena......
Haya bhana
Imeisha hiyo mama mpka wikend nyingine😅😅
Usijali ❤️Ukiweka nitag basi
Hahahaha, bado hujamdadavua tuKweli tena mkuu mtu chake
Tunashindwa kuja PM kusalimia ujue,Hahahaha
Kwanini usimuache anywe anachotaka?Wakuu madem wanaotaka windhoek tuwamixie na balimi amaView attachment 1544269
Usirudie tena kutuwekea avatar ya ajabu kama ile aisee. Afadhali tu uweke hata avatar ya guu lako lile lakini siyo ileWacha wee..sikujua jombaa

Na mimi sitaki mtu PM rafiki.Tunashindwa kuja PM kusalimia ujue,Hahahaha
Hahahaha, hata mm Rafiki ? Nipe upendeleo kdgNa mimi sitaki mtu PM rafiki.
Wewe Joanah ulishawahi kuweka picha yako hapa?Chakorii nina bahati mbaya na wewe,sijawahi kuona picha yako humu






Bado naona nazidi mpasua kichwa🤪🤪Hahahaha, bado hujamdadavua tu