Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Naperuzii kidogo nikijiuliza leo nikanywe wapiView attachment 1542421
Pampula kumbe hauna kitambi cha bia
Naperuzii kidogo nikijiuliza leo nikanywe wapiView attachment 1542421
Kaeni hapo mkinisengenya huku mwenzenu nishashiba. Mtakula masengenyo yenu.[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] umeona eenh, muache kwanza usije ukamtibua yakaamka ya kikwao.
Nimeacha pombe mom....Pampula kama pampula.
Nilikiwa nakutag hapa etii[emoji3][emoji3][emoji3]Pampula kama pampula.
Mtu na Baba yake. Kazi unayo Dogo[emoji3]Kaeni hapo mkinisengenya huku mwenzenu nishashiba. Mtakula masengenyo yenu.
Kipoo nimekivuta tu ndanii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pampula kumbe hauna kitambi cha bia
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nilikiwa nakutag hapa etii[emoji3][emoji3][emoji3]
We waache wajifanye wajuaji, nikimaliza kula nawapita hapo sebuleni kama siwajui naenda zangu kulala.Mtu na Baba yake. Kazi unayo Dogo[emoji3]
Yako yenyewe ndiyo naiyona..Uzi wa moto kuanzia wapi Hazard? Wakati zangu zenyewe zipo mwanzoni kule.Kipindi uzi wa moto tumeweka sana pichaa...
Ila wewe sijabahatikaa
Unakunywa bia now si ndio?Nimeacha pombe mom....
Kumbe Kijana wetu wa kambo huyu? Mtambulishe Mama yake mwingine hapa..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huyu mwanangu wa kambo picha alishaweka sana. Sema ni kitambo.
Hapana nimeacha pombe naa bia..siku hizi nakunywa grants tuUnakunywa bia now si ndio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23]We waache wajifanye wajuaji, nikimaliza kula nawapita hapo sebuleni kama siwajui naenda zangu kulala.
Huyu ni mwanangu ila nahisi nilibadilishiwa hospitali maana hata hafanani na wenzie[emoji134][emoji134]Kumbe Kijana wetu wa kambo huyu? Mtambulishe Mama yake mwingine hapa..
Picha zake ndiyo leo nimeona.
Ooooh!! Basi sawa pampula mwenye grants zake.Hapana nimeacha pombe naa bia..siku hizi nakunywa grants tu
Atupie kwanza kapicha nimpitishee....sitaki kumwita mama mkubwa mapema hivi[emoji16][emoji16]Huyu ni mwanangu ila nahisi nilibadilishiwa hospitali maana hata hafanani na wenzie[emoji134][emoji134]
Hazard CFC huyu ni mama yako mkubwa.
Hivi huyu Sakayo alienda wapi?Ooooh!! Basi sawa pampula mwenye grants zake.
Ooo Lord have mercy[emoji134]Atupie kwanza kapicha nimpitishee....sitaki kumwita mama mkubwa mapema hivi[emoji16][emoji16]