Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Wallah Simpi mtu kabisa rafiki yangu😊😊Hahahaha, safi sana,usimpe MTU SAA Rafiki
Wallah Simpi mtu kabisa rafiki yangu😊😊Hahahaha, safi sana,usimpe MTU SAA Rafiki
VzrWallah Simpi mtu kabisa rafiki yangu![]()
Weka nyingine rafiki yangu😎
Hahahaha ya mwisho eeh ,baadae wakilalaWeka nyingine rafiki yangu![]()
Mh mjumbe hebu weka kdg tena,nipate usingizi vzrJamani tuchapeni na hizo picha basi ndugu wajumbe....!!!!
Nimeimisi ile umeweka hapo juu na kuitoa mapema. Irudishe basi halafu uiondoe ghafla. Nimeona tu watu wanasifia guuJamani tuchapeni na hizo picha basi ndugu wajumbe....!!!!



Ahadi ni Deni rafiki ohoooooHahahaha ya mwisho eeh ,baadae wakilala
Ndugu mjumbe we kalale tu nitakuletea ndotoni 😅😅Mh mjumbe hebu weka kdg tena,nipate usingizi vzr
Subiria watu walale kwanza..Nimeimisi ile umeweka hapo juu na kuitoa mapema. Irudishe basi halafu uiondoe ghafla. Nimeona tu watu wanasifia guu![]()
Naonesha upendo tu kwa wanafamilia wote wa uzi huu, wanafanya macho yaburudike vyema kwa picha mbalimbali mnazotupia..
😅😅😅sawa Chief hakuna kilichoharibikaNaonesha upendo tu kwa wanafamilia wote wa uzi huu, wanafanya macho yaburudike vyema kwa picha mbalimbali mnazotupia..
Asante!!
Saa saba kasorobo hii watu wameshalala bana rusha hata kwa dakika moko tuSubiria watu walale kwanza..

Weekend njema Chakorii!!sawa Chief hakuna kilichoharibika
Shukrani mkuu na kwako piaWeekend njema Chakorii!!
Wako macho Bado..nitakustua nikiweka.wajumbe bado wako👀👀Saa saba kasorobo hii watu wameshalala bana rusha hata kwa dakika moko tu![]()