Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
Hahaha, nitafanyaje sasa RafikiHiyo haya bhana ni ya kinyonge sana.hakuna namna
![]()
Hahaha, nitafanyaje sasa RafikiHiyo haya bhana ni ya kinyonge sana.hakuna namna
![]()
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅haki mtakatifu unajijuaga mwenyewe mdogo wangu😎
Katika vitu vilinikataa basi ni kuchora maua.#2007 #ThingsIDidAsATeen #Utoto 😏😏
Mwenyewe nilikuwa najiona najuaaaa 😁View attachment 1544706View attachment 1544707View attachment 1544709View attachment 1544710View attachment 1544711View attachment 1544712View attachment 1544714
Oohh sawa
Tunaomba tuwekee picha dada
YeaaaaahOhoooo...vizuri..
Tupo Pa1 the same to me, usisahau na daftari liliojaa songs za hot love, kutoka kwa wasanii waqareeh, eg Celine Dion, Whitney Houston, Taylor Swift, etc. Daaah nimemic enzi hizoo lol#2007 #ThingsIDidAsATeen #Utoto
Mwenyewe nilikuwa najiona najuaaaaView attachment 1544706View attachment 1544707View attachment 1544709View attachment 1544710View attachment 1544711View attachment 1544712View attachment 1544714
Napiga sasa hivi naweka
Tupo Pa1 the same to me, usisahau na daftari liliojaa songs za hot love, kutoka kwa wasanii waqareeh, eg Celine Dion, Whitney Houston, Taylor Swift, etc. Daaah nimemic enzi hizoo lol
Mmmmh
🔥🔥🔥Wearing my designs back in 2004 🙈🙈🙈
View attachment 1544719View attachment 1544720
Sasa hivi ukinipa cherehani hata sijui naanzia wapi 😏😏😏🤓
View attachment 1544723
Hakuna namna aiseHahaha, nitafanyaje sasa Rafiki
Nimetamani hii starch acha tu
Inawasha sanaHapa kuna CHACHANDU shhhhhhhhhhhhhhhhhhh....aaaa...fulu kuwashwa![]()
Weeee.....unaweza kuiandaa hapo nyumbani jiraniNimetamani hii starch acha tu
Sanaaaa😅😅😅Inawasha sana
Yani nimekimbia mbio ndefu nusu univunje mguu