Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha sijui kama umenielewa mkuu! Mimi kiuhalisia siyo kauzu wala mbabe ila humu ndiyo huwa nafake ukauzu na ubabe ili tu nisisumbuliwe pm!

Sababu najua wanaume wengi wa kiafrika mnapenda wanawake wapole na wanyenyekevu ili muwatawale vizuri! Wababe huwa mnapiga na kusepa tu!
Mi mpole bana nataka kutawaliwa afu sisepagi.
 
Ngumu sana kuficha identity, sijui unawezaje lakini muda mwingi mwandiko wa mtu unaweza kutoa taswira halisi ya jinsi alivyo. Imagine mtu yupo jf tangu 2010, anaweza kufake lakini kuna mahali tu atashindwa.

Hahaha I think you have a point here dad, basi ndiyo maana hata mimi siku hizi nimeacha yale masuala ya kuanzisha mada za mbalansisho kati ya me na ke na kubishana na wanaume kuhusu hayo masuala.

Nafikiri ule haukuwa uhalisia wangu bali nilikuwa nafake ili nami nionekane niko vizuri kwenye mambo ya feminism, nimejitahidi sana kufake na nilijua nitafika mbali ila matokeo yake sijamaliza hata mwaka humu JF nimejikuta nimerudi kwenye uhalisia wangu na watu wengi sasa ndiyo wameanza kunijua the real me.
 
Ohoooo yaani JF inatakiwa ujichunge sana unachoandika kuna wanasaikolojia humu wanajua kumsoma kila mtu kutokana na anachoandika. Ndiyo wale wazee wa kuleta personal attacks sijui oh una stress sijui wewe single mother mara kimeenda kimerudi kimepanda kimeshuka mtu anajikuta anakujua kumbe anaropoka tu!

Sijui ila nilisikia eti humu watu ndiyo huandika ule uhalisia wao yaani yale yaliyo mioyoni mwao kwa sababu ya hizi fake ids! Waii mimi niko tofauti sana aise siwezi kuonesha uhalisia wangu 100% humu yaani mie JF nafake kuanzia identity hadi personality mtu anaweza akadhani ananijua kumbe anajua kile ambacho mimi ndiyo nimetaka ajue!

Ofcourse kuna mengine tunaongea humu ni ya ukweli. Ila huwa tunaongea yale ambayo ni common na hata mtu akiyajua haina shida.

Tena huwa tunaongea yale ambayo hayatoi clues mtu kukujua personality yako kiundani zaidi! Anyways acha waendelee tu na saikolojia zao!
Mam nikupe zawadi gan, plz iwe kubwa iendane na thamani yako, nimependa hili andiko haswaaah
 
Hahaha I think you have a point here dad, basi ndiyo maana hata mimi siku hizi nimeacha yale masuala ya kuanzisha mada za mbalansisho kati ya me na ke na kubishana na wanaume kuhusu hayo masuala.

Nafikiri ule haukuwa uhalisia wangu bali nilikuwa nafake ili nami nionekane niko vizuri kwenye mambo ya feminism, na nilijua nitafika mbali katika kufake ila matokeo yake sijamaliza hata mwaka humu JF nimerudi kwenye uhalisia wangu na watu wengi sasa ndiyo wameanza kunijua the real me.
Huhuhuhuhuh but its Gud.
 
Back
Top Bottom