Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwee naona tufunge tu sasa huu mjadala maana naona tangu jana watu wananiquote kuhusu personality yangu najikuta najielezea hadi nachoka

Hata mie siwazi wala siwalaumu wananionaje au wanasema nini kuhusu mimi they’re all entitled to their own opinions and i’m totally okay with that

Let’s keep having fun aye
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Halafu umlete Lizarazu,acha kumficha hivyo
 
Kweli kabisa dad [emoji4][emoji4]
Ila usijisahaulishe nakudai picha ujue [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Na hivi pm kwako ulikataa kunikaribisha. [emoji2296][emoji2296] Mie siwezi kuingia kwa mtu bila hodi yaani nikose adabu jukwaani na hata pm nako nikose adabu mwee nitakuwa mtoto wa aina gani sasa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pm kwangu hakuna masharti hata, napenda wageni balaa. Ukija uje na picha asee!!
 
Back
Top Bottom