Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa inakera hasa unapochangia watu wakihoji jinsia yako , sure I totally agree with you kuna id ukiwa nayo pm utasumbuliwa mno wakati natumia Aurora ilikuwa shida kumbe kuna pornographic actress anaitwa Aurora Jolie .

Duuh unaona sasa! Mimi id ya Marianah plus ile avatar niliyoweka ya Ariana Grande watu walikuwa wanajazana pm utasema wameitwa vile yaani watu sijui kwanini wanapenda kufanya imaginations za uongo kupitia hizi ids na avatars za uongo tu!
 
Mtu anafikiri ni wewe kabisa kumbe sio picha zenyewe za kudownload
Nahisi ni fikra tu mtu akiona ke ameweka avatar ya mwanamke mzuri anajiaminisha kuwa huyu ke lazima awe mzuri , wakati kiuhalisia sio kabisa .
 
Back
Top Bottom