Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alikuwa mwalimu.
Siku hizi anacheza tu na wajukuu nyumbani.

Ameninyooshaga sana mama yangu,alikuwa haangaalii ulast born wala nini..ikifika kusoma na kuandika anafinya masikio balaa.
Ana mwandiko mzuri sijapata kuona.
Hongera Sana kwa kupata mama Bora anayesimamia watoto wake kwenye maswal ya kielimu, hope na ww upo hivohivo kwa watoto wako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tecno ni nomaaa, kipnd naanza kutumia smartphones ilinifanyia tukio sitokaa nisahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siku nimepewa smartphone nilihangaika.
Nilikuwa naona vidole vipana..yaani nagusa herufi mbilimbili.. aiseee nikaichukua nikairudishia kwenye box nikachukua kitochi changu.
Cha kutaabikia Nini na kitochi ninacho.
 
Hongera Sana kwa kupata mama Bora anayesimamia watoto wake kwenye maswal ya kielimu, hope na ww upo hivohivo kwa watoto wako.
Msione nanyoosha mwandiko hapo,mama yangu dah [emoji23][emoji23]

Bahati mbaya mtoto wake bomu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]
Nipo kawaida mno
 
Mimi siku nimepewa smartphone nilihangaika.
Nilikuwa naona vidole vipana..yaani nagusa herufi mbilimbili.. aiseee nikaichukua nikairudishia kwenye box nikachukua kitochi changu.
Cha kutaabikia Nini na kitochi ninacho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nilikuwa naona vidole vipana [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] nmecheka Sana
 
Msione nanyoosha mwandiko hapo,mama yangu dah [emoji23][emoji23]

Bahati mbaya mtoto wake bomu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]
Nipo kawaida mno
Hapana kawaida kivp? Mbona unaandika vzr tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoto wa ticha
 
Back
Top Bottom