Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Aina ipi specify sasa hapo.
Hata ka ist tu nitashukuru rafiki
Aina ipi specify sasa hapo.
Mam nakupenda moaah, zawadi yako hii inaendana na thamani yako kwangu.Hata ka ist tu nitashukuru rafiki
Mam nakupenda moaah, zawadi yako hii inaendana na thamani yako kwangu.View attachment 1532787
Bahati mbaya wengine wanakufahamu kwa taswira ya mwanzo kabisa, ukiwatajia Zoë wanajua ni yule dada feminist [emoji23][emoji23][emoji23].Hahaha I think you have a point here dad, basi ndiyo maana hata mimi siku hizi nimeacha yale masuala ya kuanzisha mada za mbalansisho kati ya me na ke na kubishana na wanaume kuhusu hayo masuala.
Nafikiri ule haukuwa uhalisia wangu bali nilikuwa nafake ili nami nionekane niko vizuri kwenye mambo ya feminism, nimejitahidi sana kufake na nilijua nitafika mbali ila matokeo yake sijamaliza hata mwaka humu JF nimejikuta nimerudi kwenye uhalisia wangu na watu wengi sasa ndiyo wameanza kunijua the real me.
Tambaa dea mam, enjoy it.[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] asante totooo
Ewaaa[emoji7]Selfie mkuu au sio imebidi nieke hyo sura hapana aiseeView attachment 1532753
Zangu zipo juu,angalia comments za Leo nimetaja comments zilizo na picha zanguEmbu na ya kwako mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana nitakuwa naenda kuhakikisha mwenyewe nikikuta siyo namfuata pm huyo uliyemdanganya naenda kumuambia ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu [emoji1787]
Bahati mbaya wengine wanakufahamu kwa taswira ya mwanzo kabisa, ukiwatajia Zoë wanajua ni yule dada feminist [emoji23][emoji23][emoji23].
Zangu zipo juu,angalia comments za Leo nimetaja comments zilizo na picha zangu
😎😎😎Sindikizia na kaselfie[emoji847]
Semaaa[emoji14][emoji2296][emoji2296] aahh niseme nisiseme
Yah huwa inakuwa hivyoMimi sipendi majina ya kurithi haijalishi ni zuri au baya! Naona kama huwa yanabeba mambo mengi mtu unajikuta unarithi hadi personality traits.
Vipi[emoji41][emoji41][emoji41]
Maisha mafupi sana mwanangu, just enjoy usisikilize nani kasemaje...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wanajua ni yule dada feminist, anyway i bet with time they’ll understand.
[emoji4][emoji4] real feminists neither rest nor quit, so i couldn’t have done any of those if i were one.
Hata wasipoelewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wanajua ni yule dada feminist, anyway i bet with time they’ll understand.
[emoji4][emoji4] real feminists neither rest nor quit, so i couldn’t have done any of those if i were one.
Maisha mafupi sana mwanangu, just enjoy usisikilize nani kasemaje...
Hata wasipoelewa.
Siyo lazima kila mtu akakuelewa rafiki yangu..
Mbona wengi tu tunakuelewa !
Wasiokuelewa wana matatizo yao huko[emoji2092]