Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,579
Story na picha jamani
Mkuu hivi ushawahi kuweka picha humu?Story na picha jamani
Ahaa kumbe unaongelea mwandiko tu?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kawaida kivp? Mbona unaandika vzr tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto wa ticha
[emoji849]Mr. Lips
You're missed..
This coming Thursday let's go to via via...[emoji41]
Ukipataja tajaPako
Unataka upasikie kwa TBC ama clouds?
Dogo kalale sasa
Hahahaha, Mkuu mm nishatupia sana ,wewe tu ndio hujaona picha yangu ,km ambavyo sijaona yakoMkuu hivi ushawahi kuweka picha humu?
Nimekuambia pale juu kesho jiandae.Dogo kalale sasa
Sawa kiongozi nimekusoma.Hahahaha, Mkuu mm nishatupia sana ,wewe tu ndio hujaona picha yangu ,km ambavyo sijaona yako
Sema wengine sie watu pori ,hazizingatiwi ila zipo tena full
Me uwa nataja taja wapi kwani?Ukipataja taja
Yaani nimecheka kama kichaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hivi kuna watu huwa wanachukulia serious kila kitu??!!!!
Usinikodolee[emoji849]
Nmekuuliza nijiandae tuende wapi?Nimekuambia pale juu kesho jiandae.
We jidai hujaona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan unataka nihame kweny mwandiko?Ahaa kumbe unaongelea mwandiko tu?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmekosea nltaka sema wakipataja tajaMe uwa nataja taja wapi kwani?
Alikuwa mwalimu.
Siku hizi anacheza tu na wajukuu nyumbani.
Ameninyooshaga sana mama yangu,alikuwa haangaalii ulast born wala nini..ikifika kusoma na kuandika anafinya masikio balaa.
Ana mwandiko mzuri sijapata kuona.
Utaharibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan unataka nihame kweny mwandiko?
Jiandae kuweka pichaNmekuuliza nijiandae tuende wapi?
View attachment 1532571[emoji124]