Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Nakuja BestDepal Zoë Chakorii Saint Anne Makiseo njooni hapanawasubiri, ili tuanze safari ya kuelekea Hyatt Regency kuisindikiza saturday hii adhimu. Huhuhuhuhu

Nakuja BestDepal Zoë Chakorii Saint Anne Makiseo njooni hapanawasubiri, ili tuanze safari ya kuelekea Hyatt Regency kuisindikiza saturday hii adhimu. Huhuhuhuhu

Mimi sasahivi wameniletea za mwezi MarchJamani hivi hili tatizo la notifications ni la wote au langu tu ??![]()

Wewe si mpole bali mstaarabu sanaHapana baba hiyo ilikuwa zamani tu si unajua tena maisha ya chuo halafu ilikuwa ni peer pressure!
Sijui kama unajua kuwa mama ndiyo chanzo cha mimi kuacha hayo mavitu completely!
Nakuombea upate ili dada ako hapa nisipate shidanakunywa uji wa lishe km mgonjwa, usijali nikimiliki ndinga yangu hawa watu watasahau kabisaaah adha ya road.
Depal Zoë amu Chakorii Saint Anne

Nimeendesha sana ringi enzi zangu
Ficha na emoj kidogoSasa mdogo wangu niweke sura ya nini wakati id yangu sio verified kama ya mshana jr, unataka unidumbukize shimoni
Mbona ipo juu hapoHakika....Ila ww hujatuma yako humu![]()
Oh sawaMajani ya chai aina ya njemu yanapatikana kijiji kimoja Kanda ya ziwa.
Naomba nyama
Mungu abariki kazi za mikono yakoNinafanya kazi kwa bidii sana mkuu, one day yes
No backup i 'repeat no backup, y're all aloneMayday mayday
3rd k vant is down
I repeat
3rd kvant is down
We request immediate backup over View attachment 1531395
Hahahaha, mixer Maziwa au nimeona vby ,OK week end njemaMayday mayday
3rd k vant is down
I repeat
3rd kvant is down
We request immediate backup over View attachment 1531395
Asante Saint Anne, more blessing to youMungu abariki kazi za mikono yako
Mayday, maydayMayday mayday
3rd k vant is down
I repeat
3rd kvant is down
We request immediate backup over View attachment 1531395
Akakufanikishe katika yoteAsante Saint Anne, more blessing to you







