Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha, u handsome sio ishu, ishu mfukoni ,hahahaha ,sawa sawa
Mpishi mzee baba mwenyewe
IMG_20200808_082921_666.jpg
 
Mlezi wa wana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi wanajijuaga kweli kuwa wamebatizwa upya[emoji1787][emoji1787]
Wajue wapi wenyewe wanajua kulea na kutunza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Vibabu vingine jomoneeeh unajiuliza hiki kweli kinahimili mkiki, maan unaona kina mvi had ndevu achia za kule state house. Duuuuuuh
Nabaki kushangaa hiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😅😅😅😅unauzoefu ni kinyama🤣🤣.🙌🙌🙌
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unauzoefu ni kinyama[emoji1787][emoji1787].[emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] uzoefu wapi mam, hapana si nawaona kwa marafiki zangu, siku hiyo ndinga kaliih V8 ikatua pale magufuli hostel, jamaniiiih kimeshuka kibabuuh uwiiiiiiiih mungu wangu anihurumie khaaaah.

Bas nkaona mdada m1 kaenda pale wakakumbatiana na kubusiana shavun then wakaingia ndan ya ndinga ile na kuelekea njia ya mliman city,

Heeeeh Dunia simama nishuke hapan kwa kweli, hivi vizee vistaafu vinawaibia san vijana slayers wao. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Safari, balimi!!! Woiii at least Budweiser bia la kibabe.
Serengeti sinywi inakaba koo aisee

Hizo ndiyo nzuri sasa
Savanna na Smirnoff Ice pia ziko vizuri
Wine ndiyo usisema mie sijui wine gani sinywi aisee
Whisky na Spirit nazo twende

Bangi na Cigar sasa [emoji39][emoji39] [emoji855][emoji855]
Hapa acha nikae kimya tu
 
Back
Top Bottom