Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Ila mbona mie sio muonevu!??
Labda kuna mahali hatujaelewana tu...
Uko poa lakini!??ni muda sana hatujapata wasaa...
Naelewa kakaangu we ni mpole mno
Niko poa tu wewe ndiyo umetupotea
Ila mbona mie sio muonevu!??
Labda kuna mahali hatujaelewana tu...
Uko poa lakini!??ni muda sana hatujapata wasaa...
Nipo hapa nasubiri hadi miguu inaingia tumboni shem! Kumbe hata hunipendi


@Zoë umesema bangi na nini? Kumbe upo njema sana, kuna dada nafanya nae anakula bangi wanaume wasubiri.
Mkuu hebu nielekeze ujiji nikapige za week end , ukiwa maeneo hayo nauliza wapiKausha tu dada...walionipoteza ni wale wanaosemaga binadamu kinyama cha hamu![]()
Kausha tu dada...walionipoteza ni wale wanaosemaga binadamu kinyama cha hamu![]()



khaa hebu punguza uhuni hukoIlà unaoneka mpole sana mwanangu, hongera kwa kuepuka hiyo kitu, japo nasikia inawafanya wengi kuwa watu wema tu. I don't think weed is that bad.Hapana baba hiyo ilikuwa zamani tu si unajua tena maisha ya chuo halafu ilikuwa ni peer pressure!
Sijui kama unajua kuwa mama ndiyo chanzo cha mimi kuacha hayo mavitu completely!
nafikiri hawakujui vizuri hawa wasikuchezee kabisa aisee











Nini Shem? Masuala ya Familia hayaletwi hadharani namna hii.. tunayamaliza kifamilia..Nipo hapa nasubiri hadi miguu inaingia tumboni shem! Kumbe hata hunipendi![]()
Ukifika nishtue nitimbe hapo...unatokea wapi wewe?Mkuu hebu nielekeze ujiji nikapige za week end , ukiwa maeneo hayo nauliza wapi
Bby Leo tukutane Ujiji mapema basi. Nitakua na ile pisi kali umeiita jana kuleUkifika nishtue nitimbe hapo...unatokea wapi wewe?



Hivi dada huyu wakuitwa Makiseo ashaweka picha yake?khaa hebu punguza uhuni huko
Wewe nipe physical address ,unikute hapo nishawaka ,HahahahaUkifika nishtue nitimbe hapo...unatokea wapi wewe?
Nakuja kunywa k vant bby....sigusi pombe kabisa leo jana nimetoboka hadi siaminiBby Leo tukutane Ujiji mapema basi. Nitakua na ile pisi kali umeiita jana kule
Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app


Wewe nipe physical address ,unikute hapo nishawaka ,Hahahaha[/QUOTE hembu mwelekeze huyu huko pm
Mzigua90
Hahahahaaa... K Vant sio pombe eeeeh?Nakuja kunywa k vant bby....sigusi pombe kabisa leo jana nimetoboka hadi siamini![]()
PM nakujiaWewe nipe physical address ,unikute hapo nishawaka ,Hahahaha
Ilà unaoneka mpole sana mwanangu, hongera kwa kuepuka hiyo kitu, japo nasikia inawafanya wengi kuwa watu wema tu. I don't think weed is that bad.
K vant haina maajabu
HahahaMkimaliza story zenu za bangi na pombe kali kali mtupiemo picha.