Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,561
WanajisahaulishaMkimaliza story zenu za bangi na pombe kali kali mtupiemo picha.
WanajisahaulishaMkimaliza story zenu za bangi na pombe kali kali mtupiemo picha.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hapana baba hiyo ilikuwa zamani tu si unajua tena maisha ya chuo halafu ilikuwa ni peer pressure!
Sijui kama unajua kuwa mama ndiyo chanzo cha mimi kuacha hayo mavitu completely!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waaambie wajue.. Mnazareth pita hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji119]Nini Shem? Masuala ya Familia hayaletwi hadharani namna hii.. tunayamaliza kifamilia..
Tulia Shem wangu utapata..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usichukue mstari mmoja wa biblia ukafanya hitimisho babe!!
Toa mfanoKwani wewe yako umeweka
Toa mfano
HahahahaMimi sijaomba ya mtu hivyo nami hamna anayenidai
Shida hao wanaoomba za wenzao ila zao hawaweki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ataona atake asitake
Za kutoshaa tu...Kwani wewe yako umeweka
Za kutoshaa tu...
Kabisa.Baba hakukosea aliposema ana mke bora [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Aje tu anipe maelezo maana nakaribia kuanguka kwa mshtuko mwenzie[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimecheka kidogo nianguke nilipokaa
Lako tu.Jamani hivi hili tatizo la notifications ni la wote au langu tu ?? [emoji848][emoji848]