T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,487
Nanenane Bariadi-Simiyu
Nyama hiyo lol [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Muandiko sasa hapo uwiiiiiiih, [emoji177][emoji177][emoji177]
Basi wewe kwenye upole haupo
Heeeeeh ajali mbaya hii ni wapi huko?Crown imeishaView attachment 1531518
Mkuu tafuta gundi au uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]Shukrani mkuu
Mfuko umetoboka
Bariadi-SimiyuHeeeeeh ajali mbaya hii ni wapi huko?
Tobaaah hivi wahusika wapo salama kweli mmmmh.Bariadi-Simiyu
Hapana hawapo salama ni majeruhiTobaaah hivi wahusika wapo salama kweli mmmmh.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590] mam
Yaani acha tu[emoji23][emoji23][emoji23].naona notifications za Corona tuKimbia haraka sana, hizo zina corona oooh [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo hayo [emoji4][emoji4]Tena unapelekwa dom kwa ndinga angu, raha iliyoje hapo uwiiiiiih
Mungu wangu weeeeh, yaan hadi natetemeka kwa hofu hapa, Jah awaponye kwa kweli.Hapana hawapo salama ni majeruhi
Ni ajali ya gari nne na trekta kwa wakati mmoja
Basi hawajui kumsoma mtu.Daah ila asante kama hata angalau umeniona mimi mstaarabu kuna watu wananiona kauzu mkorofi muongeaji sina adabu but mwisho wa siku mimi napenda matani tu
Though sina maana matani yangu ndiyo yawe kikwazo kwa wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimbia haraka kabisaaahYaani acha tu[emoji23][emoji23][emoji23].naona notifications za Corona tu
MUNGU wangu[emoji26]Crown imeishaView attachment 1531518